Exodus 39:27-29

27 aPia akamtengenezea Haruni na wanawe makoti ya kitani safi, kazi ya mfumaji, 28 bna kilemba cha kitani safi, tepe za kichwani za kitani, na nguo za ndani za kitani iliyosokotwa vizuri. 29Mshipi ulikuwa wa kitani iliyosokotwa vizuri ya rangi ya buluu, na zambarau, na nyekundu, kazi ya mtarizi, kama Bwana alivyomwagiza Musa.

Copyright information for SwhKC